Ingia / Jisajili

Mawazo Ya Amani

Mtunzi: Thomasmaotsetung
> Mfahamu Zaidi Thomasmaotsetung
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomasmaotsetung

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Thomasmaotsetung Mathias

Umepakuliwa mara 196 | Umetazamwa mara 1,181

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA ASEMA MAWAZO NINAYO WAWAZIA NINYI NI MAWAAZO YA AMANI WALA SI YA MABAYA

1.NANYI MTANIITA NAMI NITAWASIKILIZA NITAWASIKILIZA

2. NAMI NITAWARUDISHA KUTOKA MAHALI POTE WATU WENU WALIOFUNGWA.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa