Mtunzi: Thomasmaotsetung
> Mfahamu Zaidi Thomasmaotsetung
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomasmaotsetung
Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu
Umepakiwa na: Thomasmaotsetung Mathias
Umepakuliwa mara 885 | Umetazamwa mara 2,840
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Moyo Mtakatifu wa Yesu
Makusudi ya Moyo wake, ni ya vizazi na vizazi hata vizazi.
1. mpigieni Bwana vigelegele, enyi wenye haki msifuni, kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo
2. Yeye huwaponya nafsi zao na mauti na kuwahuisha wakati wa njaa.