Mtunzi: Thomasmaotsetung
> Mfahamu Zaidi Thomasmaotsetung
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomasmaotsetung
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomasmaotsetung Mathias
Umepakuliwa mara 918 | Umetazamwa mara 2,180
Download Nota Download Midi
BWANA NDIYE FUNGU LA POSHO LANGU
Bwana ndiye fungu la posho langu, nala kikombe changu,X2
wewe ndiwe unaishika kura yangu.X2
1. Kamba yangu imeniangukia mahali pema
naam, nimepata urithi mzuri, urithi mzuri
2. Nitamhimidi Bwana aliyenipa, nipa shauri
naam, mtima wangu umenifundisha fundisha usiku.
3. Nimemweka Bwana mbele yangu, yangu daima
Kwa kuwa yuko kuumeni kwa ngu, sitaondoshwa.
4. Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, unafurahi
Naam, mwili wangu nao utakaa, kwa kutumaini