Ingia / Jisajili

MSIFUNI BWANA

Mtunzi: Thomasmaotsetung
> Mfahamu Zaidi Thomasmaotsetung
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomasmaotsetung

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Thomasmaotsetung Mathias

Umepakuliwa mara 414 | Umetazamwa mara 1,892

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MSIFUNI BWANA

  • Msifuni Bwana, msifuni Bwana, huwaponya waliopondeka moyo.
  • 1.a/- maana ni vema kumwimbia Mungu wetu

b/- Maana kwapendeza kusifu ni kuzuri

  • 2.a/- Bwana wetu ni Mkuu na mwingi wa nguvu
  • b/-Akili zake hazina mpaka.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa