Ingia / Jisajili

Meza Ya Bwana

Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Michael Mhanila

Umepakuliwa mara 450 | Umetazamwa mara 2,097

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Meza ya Bwana inapendeza tujongeenix2 tushiriki  kwa moyo safi tupate uzima wa milele x2

SHAIRI

1.Tule mwili wake tuinywe damuye tutapata uzima wa milele

2.Meza takatifu meza ya upendo karibuni wote tuijongee

3. Karibuni mezani kwake Bwana Yesu tukale chakula cha uzima


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa