Ingia / Jisajili

HERI TAIFA

Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Michael Mhanila

Umepakuliwa mara 294 | Umetazamwa mara 1,806

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Heri heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao

1.Mpigieni Bwana vigelegele enyi wenye haki kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo

2. heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao watu aliowachagua kuwa urithi wake

3. tazanma jicho la Bwana lipo kwao wamchao wazingojeao fadhili za Bwana

4. nafsi zetu zinamngoja Bwana yeye ndiye msaada wetu msaada wetu na ngao yetu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa