Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 535 | Umetazamwa mara 2,183
Download Nota Download MidiChakula cha mbingu kinywaji cha roho tujongee kwenye karamu ya Bwanax2 tukashiriki mwili wake tukashiriki damuye
tupate uzima wa milele
shairi
1.Mwili wake Bwana ni chakula bora damu yake Bwana ni kinywaji safi kweli twende tukashiriki
2.Aulaye mwili wake Bwana na kuinywa damu yake Bwana Yesu ataishi milele
3Tujongeeni kwenye karamu ya Bwana ametuandalia twende tukashiriki kweli