Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 1,182 | Umetazamwa mara 4,559
Download Nota Download MidiMpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote imbeni utukufu wa jina lake tukuzeni sifa zake aleluya. 1.Enyi nchi zote mshangilie Mungu imbeni utukufu wa jina lake 2.Enyi mataifa mtukuzeni Mungu itangazeni sauti ya jina lake