Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 753 | Umetazamwa mara 2,614
Download NotaKiitikio:
Mimi ni wokovu, mimi ni wokovu, mimi ni wokovu, ni wokovu wa watu. Mkinililia katika tabu zenu nami nitawasikiliza, mkinililia katika tabu zenu nami nitawasikiliza.
Mashairi:
1. Nitairidhia nchi, nitairidhia nchi, nitawarejeza kutoka utumwani, nitawarejeza mkinililia.
2. Nitawasamehe uovu wenu wote, nitazisitiri hatia zenu zote, nitazisitiri mkinililia.