Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 7,475 | Umetazamwa mara 31,062
Download Nota Download MidiKiitikio:
Nimevipiga vita vilivyo vizuri mwendo nimeumaliza imani nimeilinda, mwendo nimeumaliza imani nimeilinda, mwendo nimeumaliza imani nimeilinda. (x2)
Mashairi:
1. Baada ya hayo nimewekewa taji ya haki ambayo bwana mhukumu mwenye haki atanipa siku ile,wala si mimi tu, wala si mimi tu, bali wote waliopewa kufunuliwa kwake.
2. Nimevipiga vita, nimevipiga vita vilivyo vizuri, nimevipiga vita vilivyo vizuri mwendo nimeumaliza, imani nimeilinda, imani nimeilinda, mwendo nimeumaliza imani nimeilinda.