Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 897 | Umetazamwa mara 4,714
Download Nota Download MidiBass :Mbona watu wa mataifa wanafanya ghasia na makabila wanatafakari ubatili?, Wafalme wa dunia wanajipanga na wakuu wanafanya shauri pamoja juu ya Bwana na Masihi wake?
Tutti: Mbona watu wa mataifa wanafanya ghasia na makabila wanatafakari ubatili? Wafalme wa dunia wanajipanga na wakuu wanafanya shauri pamoja juu ya Bwana na Masihi wake?
Wanatafakari ubatili, wanatafakari ubatili, wanatafakari ubatili. Wanafanya shauri pamoja juu ya Bwana na Masihi wake, wanafanya shauri pamoja juu ya Bwana na Masihi wake, wanatafakari ubatili, wanatafakari ubatili.