Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 4,823 | Umetazamwa mara 11,530
Download Nota Download MidiKiitikio:
Umebarikiwa kuliko wanawake wote na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa(x2)
Salaam, Salaam Maria, Salaam, Salaam, Salaam mama Maria(x2)
Mashairi:
1. Bwana Yu nawe, Ee mama Maria, umejaa neema tele mama Maria umebarikiwa
2. Maria Mtakatifu,Maria mama wa Mungu,Mama utuombee,tuombee sisi wakosefu