Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Anthem
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 955 | Umetazamwa mara 3,976
Download Nota Download MidiKiitikio
Radio Maria ni radio yetu sote, yaongoza kwa vipindi vyake bora sana,
Ni sauti ya kikristo nyumbani mwako, twaalikwa watu wote kuisikiliza,
(Basi ni wajibu wetu sote kuiendeleza, tuitegemeze kwa michango ya hali na mali,
Ili neno lake Mungu liwafikie wengi, nayo amani ya Kristo iwe pamoja nasi.)x2
Mashairi
1.Sikiliza radio Maria upate msaada, utajifunza namna bora ya kuishi.
2.Kipindi cha maridhiano kinaponya ndoa, familia zinajfunza ukristo bora.
3.Na kipindi cha katekesi kinafundisha mengi, kudumu katika imani ya kanisa.