Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 2,029 | Umetazamwa mara 5,102
Download Nota Download MidiShairi
1. Ndoa ni upendo, ni sa kra me nti ya wawili
Ndoa ni furaha (ndoa nayo) ni takatifu
Kiitikio
Tuwashangilie hawa wenzetu, wameamua leo kufunga ndoa,
Wamefanya uamuzi wa busara, Mungu awabariki na kuwalinda x2
Mashairi
2. Ndoa ni amani ni sakram.........
Ndoa ni faraja (ndoa nayo) ni tak.......
3. Ndoa ni zawadi
Ndoa ni heshima
4. Ndoa ni baraka
Ndoa ni hazina
5. Ndoa ni safari
Ndoa ni fahari