Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 709 | Umetazamwa mara 2,579
Download Nota Download MidiKiitikio
Uniangalie Ee Bwana na kunifadhili (mimi) maana mimi ni mkiwa pia na mteswa,
(utazame teso langu na taabu yangu, unisamehe dhambi zangu Ee Mungu wangux2)
Mashairi
1. Macho yangu humwelekea Bwana daima, na yeye atanitoa miguu yangu, uniangalie Ee Bwana na kunifadhili.
2. Katika shida zangu unifanyie nafasi, na kunitoa katika dhiki zangu, utazame teso langu na taabu yangu.
3. Unilinde nafsi yangu na kuniponya, nisiaibike nakukimbilia, ukamilifu na unyofu zinihifadhi.