Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Adolf A. Katambi
Umepakuliwa mara 93 | Umetazamwa mara 292
Download Nota Download MidiDamu ya mwokozi wetu (ya mwokozi wetu Yesu) itutakase na itupe wokovu itupe uzima wa milele na ituondolee dhambi. X 2
MASHAIRI
1. Damu takatifu damu yake Yesu damu ya mwokozi itutakase na kutubariki.
2. - - - - - - - tuiabudu na tuiheshimu.
3. - - - - - - - fumbo la imani yetu waKristo.
4. - - - - - - - itupe kinga dhidi ya shetani.
5. - - - - - - - ituongoze njia ya mbinguni.