Ingia / Jisajili

Tazama Bwana Naleta Sadaka

Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Adolf A. Katambi

Umepakuliwa mara 304 | Umetazamwa mara 539

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama Ee Bwana naleta sadaka yangu iwe fidia yangu kwa zote dhambi zangu nilizokutendea wewe Mungu wangu unitakase na unibariki. MASHAIRI 1. Japo ni ki dogo,(tu) Bwana kipo kee nina leta kwako:Fedha za mifuko yangu uzipokee. 2. Ni kwa wema wako,(tu)Bwana nimeyapata ninayoleta kwako: Ni mazao ya mashamba uyapokee. 3. Tazama Bwana wangu,(tu)na sadaka ya misa sote twakutolea: Mkate na divai Bwana uvipokee.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa