Ingia / Jisajili

Nimefufuka

Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Adolf A. Katambi

Umepakuliwa mara 20 | Umetazamwa mara 33

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Pasaka

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Nimefufuka na ni ngali pamoja nawe. X2 Mkono umeniwekea yako maarifa hayo (ni ya ajabu) X1 (ni ya ajabu aleluya aleluya aleluya aleluya) X2 MASHAIRI 1. Ee Bwana umenichunguza na kunijua wewe Bwana wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu umelifahamu wazo langu tokea mbali. 2. Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu umeelewa na njia zangu umeelewa na njia zangu zote umeelewa njia zangu zote. 3. Maana hamna neno ulimini mwangu Bwana usilolijua kabisa nyuma na mbele wanizingira ukaniwekea mkono wako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa