Ingia / Jisajili

Amani Ya Bwana

Mtunzi: Adolf A. Katambi
> Mfahamu Zaidi Adolf A. Katambi
> Tazama Nyimbo nyingine za Adolf A. Katambi

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Adolf A. Katambi

Umepakuliwa mara 38 | Umetazamwa mara 70

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Amani ya Bwana na iwe pamoja nasi Tutakiane amani ya Bwana. X2 Amani ya Bwana idumu daima Tutakiane amani ya Bwana. X2 2. Furaha ya Bwana na iwe pamoja nasi, Tutakiane furaha ya Bwana. x 2 Furaha ya Bwana idumu daima (nasi), Tutakiane furaha ya Bwana. x 2 3. Faraja ya Bwana na iwe pamoja nasi, Tutakiane faraja ya Bwana.x 2 Faraja ya Bwana idumu daima(nasi), Tutakiane faraja ya Bwana. x 2 4. Upendo wa Bwana na uwe pamoja nasi, Tutakiane upendo wa Bwana. x 2 Upendo wa Bwana udumu daima (nasi), Tutakiane upendo wa Bwana. x 2 5. Neema za Bwana na ziwe pamoja nasi, Tutakiane neema za Bwana. x 2 Neema za Bwana zidumu daima (nasi), Tutakiane neema za Bwana. x 2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa