Ingia / Jisajili

Waufumbua Mkono Wako

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 442 | Umetazamwa mara 1,491

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Waufumbua waufumbua mkono_wako (kweli)wakishibisha wa kishibisha kilakilicho hai matakwa yake X2 Fine(1)Ee Bwana kazi zako Zita kushukuru na wacha mungu wako wata kuhimidi wataunena utukufu wa utukufu(2)Macho ya WATU ya ku elekes wewe.nawehuwapa chakula Chao wakati wake waufumbua mkono wako wakishibisha kila kilicho hai matakwa yake.(3)Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote na mwenye fadhili Juu ya kazi zake zote Bwana yukaribu na WOTE wa mwitao kwa uaminifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa