Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mwaka wa Huruma ya Mungu
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 848 | Umetazamwa mara 2,699
Download NotaKiitikio:
Missericordes Vultus intersperamus
Viimbilizi:
1.Tuungane na Baba Askofu wetu Flavian Kassala kuonesha uso wa huruma kwa watu wote, ili dira yake ya kuliongoza kanisa kwa uso wa huruma iwe naye daima
2.Tuoneshe uso wa huruma kwa watu wote, hata kwa wale wasiomfahamu Kristo
3.Wana-jimbo la Geita na kanisa lote la Tanzania, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi hii
4.Sisi wana-Geita na Kanisa lote la Tanzania, tuzidi kuutumainia uso wa huruma na kuupeleka kwa watu wote.
5.Tuzidi kuutumainia uso wa huruma, sisi wana-Geita na Kanisa lote la Tanzania.