Ingia / Jisajili

Heri Wakaao Kwa Bwana

Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,168 | Umetazamwa mara 4,896

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Heri wakaao nyumbani mwa Bwana) x 2
Wakaao nyumbani mwako wanakuhimidi siku zote  daima wanakuhimidi daima x 2.

  1. Heri ambaye nguvu zake zatoka kwako na njia ziendazo Sayuni zimo moyoni mwake.
     
  2. Wakipita katika bonde la vilio, hulifanya kuwa chemchem kubwa, Naam mvua yavuliulivika Baraka.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa