Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Matawi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,237 | Umetazamwa mara 6,371
Download Nota Download MidiKiitikio
Mfalme wa amani mpeni heshima Yerusalemu mjini anaingia, anaingia na unyenyekevu, na upole, upole mkuu, amepanda punda mwana wa Daudi x2// Hosana hosana hosana kwa mwana wa Daudi, hosana hosana hosana kwa mwana wa Daudi, hosana hosana hosana kwa mwana wa Daudi, hosana juu, hosana juu kwa mwana wa Daudi. x2//
Mashairi:
1. Leteni matawi kumlaki mfalme wenu, Imbeni hosana kwa mwana wa Daudi, njooni mumlaki mfalme wa amani.
2. Tandikeni nguo tandazeni na matawi, imbeni hosana mwimbieni mfalme wa amani, yeye ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana.
3. Ewe Yerusalemu ufurahi, ewe Yerusalemu shangilia sana, nanyi nyote mmpendao mshangilieni mfalme wa amani, muimbieni hosana muimbieni mfalme wa amani.