Maneno ya wimbo
ULIMI WANGU NA UGANDAMANE NA KAAKAA LA KINYWA CHANGU NISIPOKUKUMBUKA
UlimiWangu naUgandamane, ulimiwanguugandamane *2
Na KaaKaa La KinywaChanguNisipokukumbuka, Na KaaKaa La KinywaChanguNisipokukumbuka *2
1. KandoyamitoyaBabelindikotulikoketi, tukaliatulipoikumbukasayuni, katikamitiiliyokatikatiyaketulivitundikavinubivyetu
2. Maanahukowaliotuchukuamatekawalitakatuwaimbietuwaimbienawalioneawalitakafurahatuimbenibaadhiyanyimbo za sayuni
3. Tuuimbejewimbowa Bwana wimbowa Bwana katikanchiyaugeninchiyaugenieeYerusalemunikikusahauwewemkonowanguwakuumenausahau
4. Ulimiwangunaugandamaneugandamanenakaakaa la kinywa change nisipokukumbukanisipoikuzaYerusalemuYerusalemu, Zaidi yafurahailiyokuu.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu