Ingia / Jisajili

Waipeleka Roho Yako

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Pentekoste | Zaburi

Umepakiwa na: Eric Mwaniki

Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 50

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Pentekoste

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
WAIPELEKA ROHO YAKO Waipeleka roho yako ee Bwana, nawe waufanya upya uso wa nchi *2 Waipeleka roho, waipeleka roho, waipeleka roho yako, waipeleka roho yako Nawe waufanya upya, waufanya upya uso wa nchi *2 1. Ee nafsi yangu, umhidi Bwana, wewe Bwana Mungu wangu, umejifanya mkuu sana Ee Bwana, jinsi yalivyo mengi matendo yako, dunia imejaa mali yako 2. Waiondoa pumzi yao, wanakufa, na kuyarudia mavumbi yao, Waipeleka roho yako, wanaumbwa, nawe waufanya upya uso wa nchi 3. Utukufu wa Bwana na udumu milele, Bwana na ayafurahie matendo yake Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake, mimi nitamfurahia Bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa