Maneno ya wimbo
                BWANA ALITUTENDEA MAMBO MAKUU
Bwana alitutendea mambo makuutulikuwatukifurahitulikuwatukifurahi, *2
Alitutendea Bwana mambo mambomakuutulikuwatukifuharitulikuwatukifurahi *2
1.	Alitujaliamaishamazuritazamatulivyosisikwelitwapendezatunachochakulatunayomavazitena tuna vibaruayoteametenda
2.	Kwa upendo wake tunayomavazitena tuna vibaruayoteametenda karamu kaandaa karamu yamwilitena pia damuyaketupateuzima
3.	Katupamaarifatuzifanyekazituitafuterizikiyamaishayetukwahizojuhudiabarikikaziilihuoukuu wake udhi'rikekwetu
4.	Kaviumba vyotevyotevyapendezailisi' tuvitumiekumsifuyeyeyotenimakuukutokakwa Bwana nasitunashangiliatunafurahia
            
                                    
                Nyimbo nyingine za mtunzi huyu