Ingia / Jisajili

Moyo wangu Tulia

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 837 | Umetazamwa mara 2,628

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Moyo wangu (moyo wangu) tulia (tulia tulia) moyo wangu (moyo wangu) tulia kwa Yesu x2 1. Moyo wangu usihangaike tulia, tulia-a tulia-a tulia-a tulia kwa Yesu. 2. Moyo wangu usiwaze sana tulia tulia-a tulia-a tulia-a tulia kwa Yesu 3. Moyo wangu usiyumbeyumbe tulia, tulia-a tulia-a tulia-a tulia kwa Yesu 4. Moyo wangu usiwaze kumwacha Yesu tulia-a tulia-a tulia-a tulia kwa Yesu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa