Ingia / Jisajili

Naileta Sadaka yangu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 1,271 | Umetazamwa mara 3,080

Download Nota
Maneno ya wimbo

Naileta sadaka yangu, naileta kwa moyo radhi uipokee x2. (Kwa upendo na kwa moyo wa ukarimu Bwana ni juhudi yangu na kusihi Bwana pokea sadaka yangu x2)

  • 1.Kwa wiki nzima uumenilinda vyema umenijalia nguvu za kutenda kazi pokea sadaka yangu.
  • 2.Ninakushihi Bwana upokee na pia uitakase iwe safi sana pokea sadaka yangu.
  • 3.Mapato yangu ninayokutolea nimejipatia mimi kwa juhudi zangu, pokea sadaka yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa