Ingia / Jisajili

Tufurahi Sote Katika Bwana

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 1,278 | Umetazamwa mara 3,147

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tufurahi tufurahi sote, katika Bwana x2 Tunapoadhimisha Sikukuu kwa heshima ya Watakatifu wote x2 1. Malaika nao wanaishangilia Sikukuu hii nakumhimidi Mwana wa Mungu 2. Watakatifu mlio kwake Baba rafiki za Mungu, mtuombee tufike kwake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa