Ingia / Jisajili

Moyo Wangu Umekuambia

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 255 | Umetazamwa mara 411

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Moyo wangu umekuambia Bwana Bwana Bwana Bwana uso wako nitautafuta usinifiche uso wako X2

1. Ee Bwana usikie kwa sauti yangu ninalia unifadhili unijibu unifadhili unijibu

2. Umekuwa msaada wangu usinitupe wala usiniache Ee Mungu wa wokovu wangu

3. Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana katika nchi yao walio hai

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa