Mtunzi: EVARIST CHUWA
> Mfahamu Zaidi EVARIST CHUWA
> Tazama Nyimbo nyingine za EVARIST CHUWA
Makundi Nyimbo: Anthem | Mwanzo
Umepakiwa na: Evarist Chuwa
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 2
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Pasaka Mwaka C
EVARIST JOSEPH
Mpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote, imbeni utukufu wa jina lake, tukuzeni sifa zake sifa zake Aleluya.
1. Mwambieni Mungu matendo yako yanatisha, yanatisha Kwa wingi wa nguvu zako