Mtunzi: EVARIST CHUWA
> Mfahamu Zaidi EVARIST CHUWA
> Tazama Nyimbo nyingine za EVARIST CHUWA
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Evarist Chuwa
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 22 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 22 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 22 Mwaka C
Wewe bwana unifadhili, bwana unifadhili maana nakulilia wewe mchana kutwa x 2
1. Kwa maana wewe bwana u mwema umekuwa tayari kusamehe
2. U mwingi wa fadhili kwa watu wote, kwa watu wote wkuitao