Ingia / Jisajili

MSAADA WANGU U KATIKA BWANA

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 305 | Umetazamwa mara 1,250

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Nitayainua, nitayainua macho yangu(mimi) niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi,msaada wangu u katika Bwana, aliyezifanya mbingu na nchi. 1.Asiuache mguu wako usogezwe, yeye akulindaye asisinzie, naam hatasinzia wala hatalala, yeye aliye mlinzi wa Israeli. 2.Bwana ndiye mlinzi na uvuli wako, husimama mkono wako wa kuume, jua halitakupiga mchana, wala mwezi wakati wa usiku. 3.Bwana atakulinda na mabaya yote, atakulinda nafsi yako,Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, tangu sasa na hata milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa