Ingia / Jisajili

NINAKUJA MBELE ZAKO

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 668 | Umetazamwa mara 2,681

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NINAKUJA MBELE ZAKO 1.Nakuja mbele Zako Bwana,naleta zawadi yangu, ingawa ni kidogo Bwana, naomba uipokeye. 2.Natoa sehemu ya mali yangu kama shukrani,ingawa ni kidogo Bwana naomba uipokeye. 3.Wajuwa shida zangu Bwana, wajuwa mateso yangu, wajuwa unyonge wangu, waijuwa hali yangu. 4.Waiongoza njia yangu hutaniacha vumbini, kwa hilo ni wajibu langu kukushukuru daima. Kiitikio: Ninakuja mbele zako leo Bwana , nakuletea zawadi yangu, unibariki Baba unitakase, ninakutolea shukrani yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa