Ingia / Jisajili

Pangoni Bethlehemu

Mtunzi: Nicolaus Chotamasege
> Mfahamu Zaidi Nicolaus Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za Nicolaus Chotamasege

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege

Umepakuliwa mara 751 | Umetazamwa mara 1,611

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Pangoni Bethlehemu amezaliwa mtoto, njoni wote tumwimbie Aleluya Bwana amezaliwa x2 1. Ni Masiha wetu tuliyemngojea, amekuja kwetu tushangilie. 2. Kazaliwa mtoto Yesu kazaliwa, ulimwengu wote unashangilia. 3. Tumpokee mtoto azaliwe kwetu,tumpe na zawadi tumshangilie

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa