Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 790 | Umetazamwa mara 2,568
Download Nota Download MidiInuka inuka inuka twende tukato, inuka twende tukatoe sadaka kwa mungu wetu ×2
Tupelekee mungu wetu fedha Nazo nafaka na Mali twende tukamshukuru mungu kwa memayo atujaliayo.
1. Twendeni na zawadi zetu tupelekembele za mungu wetu naye atazipokea kwa mikono take.
2.Tutoe fedha Nazo Mali atujaliayo kwa wiki nzima tupeleke kwake mungu atazipokea.
3.Nyanyuka kaka nawe Dada baba nawe mama twende tukatoe twende tukamtolee zawadi ya sifa.