Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 299 | Umetazamwa mara 1,666
Download NotaMSIFUNI BWANA.
msifuni bwana msifuni bwana huwaponya walipondeka moyo huwaponya waliopondeka moyo.
1.Maana ni vema kumwimbia mungu Wetu maana kwapendeza kusifu ni kuzuri
2.Bwana ndiye aijengaye ajengaye yelusalem huwakusanya waliotawanyika Wa israel
3.Huwaponya waliopondeka mioyo na kuzinganga jeraha zao huisabu Idadi ya nyota huzipata majina
4.Bwana wetu ni mkuu mwingi wa nguvu akili zake hazina mipaka, Bwana huwategemeza wenye upole huwaangusha chini wenye jeuri