Ingia / Jisajili

Mtakatifu Yohane Wa Msalaba

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 2

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mtakatifu Yohane wa msalaba mwalimu wa kanisa atufundishaye kumjua Mungu na kumtafuta kwa dhati katika maisha yetu X2

Ndilo lengo na ni njia pekee ya kupata utimilifu wa kweli na furaha ya milele X2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa