Ingia / Jisajili

Bwana Aliondoka Chakulani

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Juma Kuu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 171 | Umetazamwa mara 429

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana aliondoka chakulani akatia maji katika bakuli akaanza kuwatawadha wanafunzi miguu akawaachia kielelezo hicho X2

1. Yesu akawaambia basi ikiwa mimi niliye Bwana na mwalimu nimewatawadha miguu imewapasa vivyo kutawadhana ninyi kwa ninyi

2. Kwa kuwa nimewapa kwa kuwa nimewapa kielelezo nimewapa kielelezo ili kama mimi nilivyowatendea nanyi mtende vivyo

3. Amri mpya nawapa amri mpya nawapa mpendane mpendane kama vile nilivyowapenda kama vile nilivyowapenda ninyi asema bwana

4. Hivyo watu wote hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu mkiwa na upendo mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa