Ingia / Jisajili

Neno Lako Ni Taa

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 105 | Umetazamwa mara 197

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Neno lako ni taa (taa) ya miguu yangu na mwanga wa njia yangu na mwanga wa njia yangu X2

1. Nimeapa nami nitathibisha kuzishika hukumu hukumu za haki yako

2. Nimeteswa nno nimeteswa mno Ee Bwana unihuishe sawasawa na neno lako

3. Ee Bwana uziridhie sadaka za kinywa changu na kunifundisha hukumu hukumu zako

4. Nafsi yangu imo mkononi mwangu daima lakini sheria yako sikuisahau

5. Watendao uovu wamenitegea mtego lakini sikuikosa njia ya mausia yako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa