Ingia / Jisajili

Mungu Amepaa

Mtunzi: Alphonce Andrew Otieno Obonyo
> Mfahamu Zaidi Alphonce Andrew Otieno Obonyo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alphonce Andrew Otieno Obonyo

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Alphonce Andrew Otieno Obonyo

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MUNGU AMEPAA
Mungu amepaa (bwana) mungu amepaa juu mbinguni x2
Aleluya aleluya aleluya, aleluya, mungu amepaa kwa sauti ya baragumu x2
1.walimwona juu akinyanyuka wingu likamfunika kwa uzuri
2. atarudi bwana kwa utukufu, malaika wake mungu wakasema.
3.bwana ni kuhani wetu milele ameketi kuume kwa bwana mungu.
4.tusifu jina lake bwana mungu, mbingu na dunia yote asifiwe.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa