Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,372 | Umetazamwa mara 5,124
Download Nota Download MidiEnyi viumbe vya dunia msifuni Bwana Muumba wa mbingu na nchi, yeye ndiye muumba wa vyote vyenye uhai na visivyo na uhai. Msifuni Bwana,msifuni Bwana, msifuni Bwana, yeye ndiye muuma wa vyote vyenye uhai na visivyo na uhai.