Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 966 | Umetazamwa mara 4,743
Download Nota Download MidiKiitikio:
Bwana moyo wangu hauna kiburi wala macho yangu hayainuki, wala sijishughulishi na mambo makuu wala na mambo yashindayo nguvu zangu.
Mashairi:
1.Hakika nimeituliza nafsi yangu, nimeituliza nafsi yangu na kuinyamazisha
2.Ee Israeli umtarajie Bwana tangu leo na hata milele
3.Kama mtoto alivyoachishwa kifuani mwa mama yake ndivyo roho yangu ilivyo kwangu.