Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,149 | Umetazamwa mara 5,606
Download Nota Download MidiChorus
Njoni kwangu nyote msumbukao,nanyi wenye kuelemewa na mizigo; Njoni njoni kwangu,nyote msumbukao,njoni kwangu msumbukao,nami nitawapumzisha.njoni kwangu msumbukao nami nitawapumzisha
Mashairi
1. Kwa maana nira yangu ni laini,na mzigo wangu ni mwepesi, nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi
2. Jitieni nira yangu mjifunze kwangu,kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu