Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 4,219 | Umetazamwa mara 8,000
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka C
Mungu yu katika kao lake kao lake takatifu Mungu huwakalisha wapweke nyumbani X2
(Yeye) huwapa watu wake (nguvu) nguvu na uwezo yeye huwapa watu wake nguvu na uwezo X2
1. Bali wenye haki hufurahi na kuushangilia uso wa Mungu naam hupiga kelele kwa furaha
2. Mwimbieni Bwana mwimbieni lisifuni jina lake jina lake mtengenezeeni njia ya barabara
3. Huwatoa wafungwa wakae hali ya kufanikiwa bali wakaidi hukaa katika nchi kavu