Ingia / Jisajili

Hawa Ndio Wale

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Watakatifu | Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 337 | Umetazamwa mara 1,013

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Hawa ndio wale ambao walipoishi walipanda kanisa kwa damu yao walikunywa kikombe cha Bwana walikunywa kikomb cha Bwana wakawa rafiki zake Mungu X2

1. Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu haitalishinda

2. Malaika wa Bwana Malaika wa Bwana hufanya kituo akiwazungukia wamchao na kuwaokoa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa