Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 4,348 | Umetazamwa mara 9,610
Download Nota Download MidiYesu akualika nenda mezani kapokee Mkristo we kapokee Mkristo chakula kitokacho juu na kinywaji cha uzima wa milele x2
1. Alimojieka mzima umungu wake wote kwa maumbo ya shamba ni zabibu na ngano isiyochacha
2. Nenda kaungane naye kakae ndani yake atakuwa ndani yako uzima utakuwa mali yako
3. Macho yako hayamwoni imani ikomae umpokee ka rohoni na wala si kwa shibe ya tumbo