Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 3,909 | Umetazamwa mara 7,129
Download Nota Download MidiKiitikio: Mwimbieni Bwana wimbo mpya nchi yoteX2
Heshima nazo adhama ziko mbele zake nguvu na uzuri vimo katika patakatifu pakeX2
Mashairi: 1. Mwimbieni Bwana libarikini jina lake, tangazeni wokovu wake siku kwa siku
2. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake, na watu wote habari za maajabu yake