Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa
Umepakuliwa mara 557 | Umetazamwa mara 2,754
Download Nota Download MidiKiitikio:
Twakushukuru baba Mungu kwa kutulinda sote (baba) kutuwezesha kufika leo hii, umetuweka wenye Afya njema Twakushukuru (baba) Twakushukuru twasema asante.
Mashairi;
1. Ajali nyingi baba (kweli) umetuepusha Twakushukuru twasema asante.
2. Uchumi wetu baba (kweli) umetukuzia, Twakushukuru twasema asante.
3. Mafanikio baba (kweli) watuzidishia, Twakushukuru twasema asante.