Ingia / Jisajili

Mwokozi Wetu Amezaliwa

Mtunzi: Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Mfahamu Zaidi Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 1,572 | Umetazamwa mara 4,607

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mwokozi wetu amezaliwa, mwokozi wetu amezaliwa leo tumshangilie x 2  twende na zawadi zetu, twende tukampe Bwana, Yeye ndiye Kristu Bwana, Yeye ndiye Kristu Bwana kazaliwa Bethlehem, Yeye ni masiha wetu, Yeye ni masiha wetu leo ameshuka kwetu.

Mashairi:

1. Malaika wanaimba, nyimbo nzuri toka mbinguni, kwa sababu amezaliwa mkombozi wetu duniani.

2. Wachungaji wanaenda himahima kule horini, kwa sababu amezaliwa mkombozi wetu duniani.

3. Utukufu juu mbinguni, na amani duniani, kwa sababu amezaliwa mkombozi wetu duniani.

4. Nasi twende himahima, na zawadi tumpe Bwana, kwa sababu amezaliwa mkombozi wetu duniani.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa